Search

19 results for Anko Kitime :

  1. Wasanii wa Tanzania bado hawajatambulika ipasavyo

    Siku chache zijazo itasomwa bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, naomba niwakumbushe wawakilishi wa wananchi kuwa tulio chini ya wizara hii tuna mengi sana ya kusema, lakini pa...

  2. Zamani kurekodi haikuwa lelemama

    Niliingia studio kurekodi na bendi kwa mara ya kwanza mwaka 1982. Hii ilikuwa baada ya kushiriki kuigiza katika filamu iliyoitwa ‘ Wimbo wa Muanzi’, filamu iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa...

  3. Miaka 37 toka kifo cha Ahmad Kipande wa Kilwa Jazz Band

    Mwaka 1953, Ahmad Kipande aliyekuwa mzaliwa wa Kilwa, aliamua kuja Dar es Salaam kutafuta maisha. Alipofika kati ya mambo aliyoyakuta yaliyomfurahisha ni teknolojia ya gramafoni, chombo ambacho...

  4. Gwiji aliyesahaulika Frank Humplick

    Kuna wasanii wengi waliotoa mchango wao mkubwa wa kisanii katika nchi hii katika awamu mbalimbali za historia ya nchi yetu. Mmoja wa wasanii hawa ni mwanamuziki Frank Joseph Humplick

  5. Rumba la Tanzania halikuanzia Kongo

    Watu wengi huwa wanaamini kabisa kuwa wanamuziki wa Tanzania walijifunza muziki wa rhumba kutoka Kongo, hii kwa kweli inatokana na jinsi ambavyo kwa miaka mingi bendi za Tanzania zimekuwa...

  6. Kuporomoka kwa utamaduni wa kuwa na kumbi za sanaa

    Kuishi kwingi ni kuona mengi, huu ni msemo wa zamani ambao kila wakati utabaki kuwa ni kweli. Kwa mtu aliyekuweko kabla ya miaka ya 70 na alikuwa na akili timamu, kuna mambo mengi yaliyohusu...

  7. Muziki enzi za mzee Ruksa

    Kura za ndiyooooo’, hayo yalikuwa maneno katika wimbo wa kampeni ya uchaguzi mwaka 1985. Ulikuwa ni uchaguzi mkuu ambao kwa mara ya kwanza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa hagombei...

  8. RTD ina mchango mkubwa katika kulinda na kuendeleza utamaduni wa TZ

    Mwaka 1951 afisa mmoja wa BBC alipendekeza kuanzishwa kwa kituo cha redio katika koloni la Uingereza la Tanganyika. Ili kupata ujuzi wa kutengeneza vipindi kwa ajili ya wenyeji wa nchi hii...

  9. Rais Samia atazame sanaa, na wasanii wa mikoani 

    Katika makala ya leo nitaanza tofauti kidogo, nitaanze na wasifu wangu mwenyewe. Nilipanda jukwaani kupiga muziki kwa mara ya kwanza mwaka 1969, nikiwa na wenzangu akina Iddi Mwanahewa, John...

  10. Wimbo wa Remmy wageuka wa kuombea hela

    Mwaka 1984 niliacha ghafla bendi ya Orchestra Mambo Bado, haukuwa mpango wa muda mrefu, niliamua tu ghafla kuacha bendi baada ya kurudi safari ya maonesho tuliyokwenda kuyafanya mkoani Tanga.

Page 1 of 2

Next